"Kilinda vitufe"
"Weka nambari ya PIN"
"Weka PUK na nambari mpya ya PIN ya SIM"
"Nambari ya PUK ya SIM"
"Nambari mpya ya PIN ya SIM"
"Gusa ili uandike nenosiri"
"Andika nenosiri ili ufungue"
"Andika PIN ili ufungue"
"Weka PIN yako"
"Weka mchoro wako"
"Weka nenosiri lako"
"Nambari ya PIN si sahihi."
"Kadi si Sahihi."
"Imejaa chaji"
"%s • Inachaji bila Kutumia Waya"
"%s • Inachaji"
"%s • Inachaji kwa kasi"
"%s • Inachaji pole pole"
"Unganisha chaja yako."
"Bonyeza Menyu ili kufungua."
"Mtandao umefungwa"
"Hakuna SIM kadi"
"Hakuna SIM kadi katika kompyuta kibao."
"Hakuna SIM kadi kwenye simu."
"Weka SIM kadi."
"SIM kadi haiko au haisomeki. Weka SIM kadi."
"SIM kadi isiyotumika."
"SIM kadi yako imefungwa kabisa.\n Wasiliana na mtoa huduma za mtandao ili upate SIM kadi nyingine."
"SIM kadi imefungwa."
"SIM kadi imefungwa kwa PUK."
"Inafungua SIM kadi..."
"Eneo la PIN"
"Nenosiri la kifaa"
"Eneo la PIN ya SIM"
"Eneo la PUK ya SIM"
"Kengele inayofuata italia saa %1$s"
"Futa"
"Zima eSIM"
"Imeshindwa kuzima eSIM"
"Hitilafu imetokea wakati wa kuzima eSIM."
"Weka"
"Umesahau Mchoro"
"Mchoro si sahihi"
"Nenosiri si sahihi"
"Nambari ya PIN si sahihi"
- Jaribu tena baada ya sekunde %d.
- Jaribu tena baada ya sekunde 1.
"Chora mchoro wako"
"Weka PIN ya SIM."
"Weka PIN ya SIM ya \"%1$s\"."
"%1$s Zima eSIM ili utumie kifaa bila huduma ya vifaa vya mkononi."
"Weka PIN"
"Weka Nenosiri"
"SIM sasa imefungwa. Weka nambari ya PUK ili uendelee. Wasiliana na mtoa huduma za mtandao kwa maelezo."
"SIM ya \"%1$s\" sasa imezimwa. Weka nambari ya PUK ili uendelee. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo."
"Weka nambari ya PIN unayopendelea"
"Thibitisha nambari ya PIN unayopendelea"
"Inafungua SIM kadi..."
"Andika PIN ya tarakimu 4 hadi 8."
"Nambari ya PUK inafaa kuwa na tarakimu 8 au zaidi."
"Weka tena nambari sahihi wa PUK. Ukirudia mara nyingi utafunga SIM kabisa."
"Nambari za PIN hazifanani"
"Umejaribu kuchora mchoro mara nyingi mno"
"Umeandika vibaya PIN mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umeandika vibaya nenosiri lako mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umechora vibaya mchoro wako wa kufungua mara %1$d. \n\n Jaribu tena baada ya sekunde %2$d."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yake yote."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu."
"Umekosea kuchora mchoro wako wa kufungua mara %1$d. Ukikosea mara nyingine %2$d, utaombwa kufungua kompyuta yako kibao kwa kutumia akaunti yako ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d."
"Umekosea kuchora mchoro wako wa kufungua mara %1$d. Ukikosea mara nyingine %2$d, utaombwa kufungua simu yako kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d."
"Nambari ya PIN ya SIM si sahihi, sasa lazima uwasiliane na mtoa huduma za mtandao ndipo ufungue kifaa chako."
- Nambari ya PIN ya SIM si sahihi. Una nafasi zingine %d za kujaribu.
- Nambari ya PIN ya SIM si sahihi. Una nafasi zingine %d za kujaribu kabla ulazimike kuwasiliana na mtoa huduma wako ili akufungulie kifaa chako.
"SIM haiwezi kutumika. Wasiliana na mtoa huduma wako."
- Nambari ya PUK ya SIM si sahihi, bado unaweza kujaribu mara %d kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa.
- Nambari ya PUK ya SIM si sahihi, bado unaweza kujaribu mara %d kabla ya SIM kuacha kutumika kabisa.
"Utendakazi wa PIN ya SIM haujafanikiwa!"
"Utendakazi wa PUK ya SIM haujafanikiwa!"
"Nambari Imekubaliwa!"
"Hakuna mtandao."
"Kubadili mbinu ya kuingiza data"
"Hali ya ndegeni"
"Unafaa kuchora mchoro baada ya kuwasha kifaa upya"
"Unafaa kuweka PIN baada ya kuwasha kifaa upya"
"Unafaa kuweka nenosiri baada ya kuwasha kifaa upya"
"Mchoro unahitajika ili kuongeza usalama"
"PIN inahitajika ili kuongeza usalama"
"Nenosiri linahitajika ili kuongeza usalama."
"Mchoro unahitajika unapobadili wasifu"
"PIN inahitajika unapobadili wasifu"
"Nenosiri linahitajika unapobadili wasifu"
"Msimamizi amefunga kifaa"
"Umefunga kifaa mwenyewe"
- Hujafungua kifaa kwa saa %d. Thibitisha mchoro.
- Hujafungua kifaa kwa saa %d. Thibitisha mchoro.
- Hujafungua kifaa kwa saa %d. Thibitisha PIN.
- Hujafungua kifaa kwa saa %d. Thibitisha PIN.
- Hujafungua kifaa kwa saa %d. Thibitisha nenosiri.
- Hujafungua kifaa kwa saa %d. Thibitisha nenosiri.
"Haitambuliwi"
"Haitambuliwi"
- Weka PIN ya SIM. Zimesalia mara %d za kujaribu.
- Weka PIN ya SIM. Ukijaribu tena mara %d bila kufaulu, kifaa chako kitafungwa na utalazimika uwasiliane na mtoa huduma wako ili akifungue.
- Sasa SIM imefungwa. Weka msimbo wa PUK ili uendelee. Umesalia na majaribio %d kabla ya SIM kuacha kufanya kazi kabisa. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo.
- Sasa SIM imefungwa. Weka msimbo wa PUK ili uendelee. Umesalia na jaribio %d kabla ya SIM kuacha kufanya kazi kabisa. Wasiliana na mtoa huduma kwa maelezo.
- ""Ni saa"\n"^1\n^2
- ""Ni saa"\n"^1\n^2
- "Sita"
- "Saba"
- "Nane"
- "Tisa"
- "Kumi"
- "Kumi na moja"
- "Kumi na mbili"
- "Moja"
- "Mbili"
- "Tatu"
- "Nne"
- "Tano"
- "Kamili"
- "Na Dakika Moja"
- "Na Dakika Mbili"
- "Na Dakika Tatu"
- "Na Dakika Nne"
- "Na Dakika Tano"
- "Na Dakika Sita"
- "Na Dakika Saba"
- "Nane"
- "Na Dakika Tisa"
- "Kumi"
- "Kumi na Moja"
- "Kumi na Mbili"
- "Kumi na tatu"
- "Kumi na nne"
- "Kumi na Tano"
- "Kumi na Sita"
- "Kumi na Saba"
- "Kumi na nane"
- "Kumi na tisa"
- "Ishirini"
- "Ishirini na\nMoja"
- "Ishirini na\nMbili"
- "Ishirini na\nTatu"
- "Ishirini na\nNne"
- "Ishirini na \nTano"
- "Ishirni na\nSita"
- "Ishirini na\nSaba"
- "Ishirini na\nNane"
- "Ishirini na\nTisa"
- "Thelathini"
- "Thelathini na\nMoja"
- "Thelathini na\nMbili"
- "Thelathini na\nTatu"
- "Thelathini na\nNne"
- "Thelathini na\nTano"
- "Thelathini na\nSita"
- "Thelathini na\nSaba"
- "Thelathini na\nNane"
- "Thelathini na\nTisa"
- "Arobaini"
- "Arobaini na\nMoja"
- "Arobaini na\nMbili"
- "Arobaini na\nTatu"
- "Arobaini na\nNne"
- "Arobaini na\nTano"
- "Arobaini na\nSita"
- "Arobaini na\nSaba"
- "Arobaini na\nNane"
- "Arobaini na\nTisa"
- "Hamsini"
- "Hamsini na\nMoja"
- "Hamsini na\nMbili"
- "Hamsini\nTatu"
- "Hamsini na\nNne"
- "Hamsini na\nTano"
- "Hamsini na\nSita"
- "Hamsini na\nSaba"
- "Hamsini na\nNane"
- "Hamsini na\nTisa"