"Fikia kidhibiti cha vipakuliwa." "Huruhusu programu kufikia kidhibiti cha BluetoothShare na kukitumia kuhamisha faili." "Ruhusu ufikiaji kifaa cha bluetooth." "Huruhusu programu kuorodhesha kwa muda kifaa cha Bluetooth kwenye orodha ya vifaa maalum, ikiruhusu kifaa hicho kutuma faili kwa kifaa hiki bila uthibitishaji wa mtumiaji." "Bluetooth" "Kifaa kisichojulikana" "Haijulikani" "Hali ya ndegeni" "Huwezi kutumia Bluetooth kifaa kikiwa katika hali ya Ndegeni." "Kutumia huduma za Bluetooth, lazima kwanza uwashe Bluetooth." "Je wataka kuwasha Bluetooth sasa?" "Ghairi" "Washa" "Uhamishaji faili" "Ungependa kupokea faili inayoingia?" "Kataa" "Kubali" "Sawa" "Muda ulikatika wakati wa kukubali faili inayoingia kutoka \"%1$s\"" "Faili Zinazoingia" "%1$s ako tayari kutuma %2$s" "Kushiriki kwa bluetooth: Inapokea %1$s" "Kushiriki kwa bluetooth: Imepokea %1$s" "Kushiriki kwa Bluetooth: Faili %1$s haijapokewa" "Kushiriki kwa bluetooth: Inatuma %1$s" "Kushiriki kwa bluetooth: Imetuma %1$s" "Imekamilika 100%" "Kushiriki kwa bluetooth: Faili %1$s haijatumwa" "Uhamishaji faili" "Kutoka: \"%1$s\"" "Faili: %1$s" "Ukubwa wa faili: %1$s" "Inapokea faili..." "Komesha" "Ficha" "Kutoka" "Jina la faili" "Ukubwa" "Faili haijapokelewa" "Faili: %1$s" "Sababu: %1$s" "Sawa" "Faili imepokelewa" "Fungua" "Kwa: \"%1$s\"" "Aina ya Faili: %1$s (%2$s)" "Inatuma faili..." "Faili imetumwa" "Sawa" "Faili haikutumwa kwa \"%1$s\"." "Faili: %1$s" "Jaribu tena" "Funga" "Sawa" "Faili isiyojulikana" "Hakuna programu ya kushughulikia aina hii ya faili. \n" "Hakuna faili." "Faili haipo. \n" "Tafadhali subiriā€¦" "Inawasha Bluetooth..." "Faili itapokelewa. Kagua maendeleo katika paneli ya Arifa." "Faili haiwezi kupokewa." "Ilikomesha upokeaji wa faili kutoka \"%1$s\"" "Inatuma faili kwa \"%1$s\"" "Inatuma faili %1$s kwa \"%2$s\"" "Ilikomesha utumaji faili kwa \"%1$s\"" "Hakuna nafasi ya kutosha katika hifadhi ya USB ya kuhifadhi faili kutoka kwa \"%1$s\"" "Hakuna nafasi ya kutosha katika kadi ya SD ya kuhifadhi faili kutoka kwa \"%1$s\"" "Nafasi inayohitajika: %1$s" "Maombi mengi sana yanashughulikiwa. Jaribu tena baadaye." "Uhamishaji wa faili bado haijaanzishwa." "Uhamihaji faili unaendelea." "Faili imehamishwa." "Maudhui haiauniwi." "Uhamishaji umekatazwa na kifaa kinacholengwa." "Uhamishaji umeghairiwa na mtumiaji." "Suala la hifadhi." "Hakuna hifadhi ya USB." "Hakuna kadi ya SD. Weka kadi ya SD ili uhifadhi faili zinazohamishwa." "Muunganisho haujafanikiwa." "Ombi haliwezi kushughulikiwa kwa usahihi." "Hitilafu isiyojulikana." "Zilizopokewa kupitia Bluetooth" "Shiriki Bluetooth" "%1$s Imepokelewa kikamilifu" "Kutuma kwa %1$s kumekamilika." "Mahamisho yanayoingia" "Mahamisho yanayotoka" "Historia ya uhamishaji haina chochote." "Vipengee vyote vitafutwa kutoka kwenye orodha." "Kushiriki kwa bluetooth: Faili zilizotumwa" "Kushiriki kwa bluetooth: Faili zilizopokelewa" %1$d haikufaulu. %1$d hazikufaulu. %1$d imefaulu, %2$s %1$d zimefaulu, %2$s "Futa orodha" "Fungua" "Futa kutoka orodha" "Futa" "Inayocheza Sasa" "Hifadhi" "Ghairi" "Chagua akaunti unazotaka kushiriki kupitia Bluetooth. Bado unatakiwa kutoa idhini ya ufikiaji wowote kwenye akaunti yako wakati unaunganisha." "Nafasi zilizosalia:" "Aikoni ya programu" "Mipangilio ya Kushiriki Ujumbe wa Bluetooth" "Haiwezi kuchagua akaunti. Nafasi 0 zimesalia" "Imeunganisha sauti ya Bluetooth" "Imeondoa sauti ya Bluetooth" "Sauti ya Bluetooth" "Haiwezi kutuma faili zinazozidi GB 4"