"Uwekaji wa wasifu wa kazini" "Lo!" "Weka mipangilio ya wasifu wa kazini" "Shirika lako linadhibiti kifaa chako na kukiweka salama. Unadhibiti vitu vingine vyote kwenye kifaa chako." "Shirika lako litadhibiti kifaa hiki na kukiweka salama." "Programu ifuatayo itahitaji kufikia wasifu huu:" "Programu zifuatazo zitadhibiti kifaa chako:" "Inayofuata" "Inaweka mipangilio ya wasifu wa kazini..." "Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa mashirika, ruhusa za programu na data inayohusiana na wasifu huu, ikijumuisha shughuli zako za mtandaoni, pamoja na mahali kilipo kifaa chako, rekodi ya simu zilizopigwa na historia ya anwani ulizotafuta.<br><br>Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako." "Msimamizi wako ana uwezo wa kufuatilia na kudhibiti mipangilio, ufikiaji wa vipengele vya shirika, ruhusa za programu na data inayohusiana na kifaa hiki, ikijumuisha shughuli zako za mtandaoni, pamoja na mahali kilipo kifaa chako, rekodi ya simu zilizopigwa na historia ya anwani ulizotafuta.<br><br>Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako." "Ili utumie vipengele vya kifaa vya kuzuia wizi, lazima uwe na skrini inayoweza kufungwa kwa nenosiri kwenye kifaa chako." "Wasiliana na msimamizi wako kwa maelezo zaidi, ikiwa ni pamoja na sera za faragha za shirika lako." "Pata maelezo zaidi" "Ghairi" "Sawa" "Ninakubali" "Kiungo hiki hakiwezi kuonyeshwa." "Sheria na masharti" "Maelezo ya wasifu wa kazini" "Maelezo kuhusu kifaa kinachosimamiwa" "Wasifu wa kazini" "Mtumiaji wa kwanza" "Futa wasifu uliopo?" "Tayari una wasifu wa kazini. Unadhibitiwa kwa kutumia programu ifuatayo:" "Kabla ya kuendelea, ""soma hapa""." "Ukiendelea, utafuta data na programu zote zilizo kwenye wasifu huu." "Futa" "Ghairi" "Ili kuweka wasifu wako wa kazini, unahitaji kusimba kifaa chako kwa njia fiche. Huenda shughuli hii ikachukua muda." "Ili kupanga kifaa hiki, unahitaji kwanza kukisimba kwa njia fiche. Huenda shughuli hii ikachukua muda." "Ungependa kusimba kifaa hiki kwa njia fiche?" "Simba kwa njia fiche" "Usimbaji fiche umekamilika" "Gusa ili uendelee kuweka mipangilio ya wasifu wako wa kazini" "Haikuweza kusanidi wasifu wako wa kazi. Wasiliana na idara yako ya Teknolojia ya Habari au ujaribu tena baadaye." "Imeshindwa kuongeza wasifu wa kazini" "Huwezi kubadilisha au kuondoa wasifu wa kazini" "Wasifu wa kazini hauwezi kuongezwa kwenye klifaa hiki. Ikiwa una maswali, wasiliana na msimamizi wako." "Badilisha kifungua programu cha kifaa" "Wasifu wako wa kazini hauwezi kutumia kifungua programu hiki" "Ghairi" "Sawa" "Usanidi wa Mtumiaji Hujakamilika" "Mtumiaji wa kifaa cha kazini" "Inaweka mipangilio kwenye kifaa cha kazini..." "Inachakata data ya kuweka mipangilio..." "Inaunganisha kwenye Wi-Fi..." "Inaunganisha kwenye mtandao wa simu…" "Inapakua programu ya msimamizi..." "Inasakinisha programu ya msimamizi..." "Inaondoa programu za mfumo zisizohitajika…" "Inaweka vipengele vya mwisho…" "Inaweka mipangilio ya mmiliki wa kifaa..." "Inaanzisha kifaa..." "Kifaa hiki hakiruhusu usimbaji fiche, unaohitajika kuweka mipangilio. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi." "Ungependa kusimamisha shughuli ya kuweka mipangilio na uweke upya mipangilio ya kifaa?" "Hatua hii itaweka upya mipangilio ya kifaa chako na kukurejesha kwenye skrini ya kwanza." "Je, ungependa kuacha kusanidi na ufute data iliyomo kwenye kifaa chako?" "Ghairi" "Sawa" "Weka upya" "Imeshindwa kuweka wasifu" "Imeshindwa kuweka mipangilio ya kifaa" "Imeshindwa kuweka mipangilio ya kifaa. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi." "Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi" "Tayari umeweka mipangilio ya kifaa" "Imeshindwa kuunganisha kwenye Wi-Fi" "Kipengele cha kuweka upya mipangilio kimewashwa katika kifaa chako. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi." "Inafuta" "Tafadhali subiri..." "Imeshindwa kutumia programu ya msimamizi kutokana na hitilafu ya kuangalia hesabu. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi." "Imeshindwa kupakua programu ya msimamizi" "Imeshindwa kutumia programu ya msimamizi. Vipengele havipo au vina hitilafu. Wasiliana na msimamizi kwa maelezo zaidi." "Imeshindwa kusakinisha programu ya msimamizi" "Ungependa kuacha kusanidi?" "Hapana" "Ndiyo" "Inaghairi…" "Je, ungependa kuacha kuweka mipangilio ya kifaa chako?" "Unaweza kuweka wasifu wako wa kazini baadaye katika programu ya kudhibiti kifaa cha shirika lako" "Endelea" "Simamisha" "Ondoa" "Unakaribia kuunda wasifu wa kazini ambao utadhibitiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti yatatumika." "Unakaribia kuunda wasifu wa kazini ambao utasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti kutoka %1$s yatatumika." "Wasifu utaundwa kwa ajili ya programu zako za kazini. Wasifu huu na sehemu zingine za kifaa chako, zitasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti yatatumika." "Wasifu utaundwa kwa ajili ya programu zako za kazini. Wasifu huu na sehemu zingine za kifaa chako zitasimamiwa na kufuatiliwa na shirika lako. Sheria na masharti kutoka %1$s yatatumika." "Kifaa hiki kitadhibitiwa, kuchunguzwa na kulindwa na %1$s. Sheria na masharti yatatumika. %2$s" "Kifaa hiki kitadhibitiwa, kuchunguzwa na kulindwa na %1$s. Sheria na Masharti kutoka %2$s yatatumika. %3$s" "Kiungo hiki si salama na hakiwezi kufunguliwa hadi umalize kuweka mipangilio ya kifaa: %1$s" "Ikiwa una swali, wasiliana na %1$s." "Kama una maswali, wasiliana na msimamizi wa shirika lako" "Haijamaliza kuweka mipangilio. Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi." "Wasiliana na msimamizi wako ili upate usaidizi" "msimamizi wa shirika" "%1$s itadhibiti na kufuatilia kifaa hiki kwa kutumia programu ifuatayo:" "Shirika lako" "shirika lako" "Angalia sheria na masharti" "Kubali na uendelee" "Nyuma" "Weka mipangilio ya kifaa chako" "Badilisha jinsi unavyofanya kazi" "Tenganisha data ya kazini na ya binafsi" "Sehemu moja ya kuweka programu za kazini" "Zima kipengele cha kazini utakapomaliza" "Inaandaa" "Inasanidi vyeti vya CA" "Weka wasifu wako" "Kwa kutumia wasifu wa kazini, unaweza kutenganisha data ya kazini na data ya binafsi" "Kwa kutumia wasifu wa kazini, unaweza kuweka programu zako za kazini mahali pamoja" "Weka mipangilio ya wasifu wako. Usimbaji fiche" "Weka mipangilio ya wasifu wako. Inaonyesha maendeleo" "Sanidi kifaa chako" "Weka mipangilio ya kifaa chako. Usimbaji fiche" "Weka mipangilio ya kifaa chako. Inaonyesha maendeleo" "Kitufe cha pata maelezo zaidi" "Aikoni ya %1$s" "Sehemu ya kichwa cha %1$s." "Sehemu ya maudhui ya %1$s: %2$s" "Panua" "Kunja" "Fikia orodha ya viungo" "Fikia viungo" "Fikia sheria na masharti" "Soma masharti" "Funga orodha" "Iache kusasisha mipangilio na irejeshe hali iliyotoka nayo kiwandani?" "Hatua ya kufunga shughuli hii ya kuweka mipangilio itarejesha kifaa chako katika hali iliyotoka nayo kiwandani na kuleta skrini ya kwanza." "Ghairi" "Weka mipangilio ya kifaa upya" "%1$s na %2$s" "%1$s na %2$s" "%1$s, %2$s" "%1$s, %2$s" "Hatua hii inaweza kuchukua dakika kadhaa" "Programu zako za kazini zitahifadhiwa katika wasifu huu na kusimamiwa na shirika lako" "Kifaa hiki kitawekwa salama na kusimamiwa na shirika lako" "Inajiandaa kuweka mipangilio kwenye kifaa cha kazini…" "Inaweka mipangilio ya programu ya msimamizi" "Weka mipangilio ya kila kitu" "Sasa, acha tuweke mipangilio ya kila kitu" "Shirika lako litadhibiti simu hii" "Programu ifuatayo itatumika kudhiiti na kufuatilia simu hii" "Inapakua programu ya msimamizi…" "Kwanza, acha tuweke wasifu wako wa kazini" "Tumia simu moja kwa ajili ya kazi na michezo" "Tenganisha data ya binafsi na ya kazini" "Zima baada ya kukamilisha" "Inatengeneza wasifu wa kazini…" "Turuhusu tuweke mipangilio kwenye simu yako ya kazini" "Unganisha popote ulipo" "Data ya kazini ni salama" "Shirika lako litadhibiti simu hii" "Pata programu zinazofaa shirika lako" "Inaweka mipangilio kwenye kifaa chako kinachosimamiwa…" "Simu yako iko tayari kutumika!" "Nimemaliza"